Baad a ya kumaliza mafunzo ya miaka miwili, mwanachuo aweze
kuwa na ujuzi wa:
a) Kutambua mbinu
mbalimbali na kuzitumia katika kufaragua
na kutengeneza
vielelezo na teknolojia vya kufundishia na kujifu nzia.
b) Kuhifadhi
vielelezo na teknolojia mbalimbali za kufundishia na kujifunzia.
c) Kubuni aina
mbalimbali za vielelezo na teknolojia
kwa kutumia
malighafi/makunzi inayopatikana katika mazingira anamoishi
na kwa gharama
nafuu.
d) Kutambua aina
mbalimbali za vielelezo na teknolojia zinazoweza
kutengenezwa na kutumika katika kufundishia na kujifunzia.
e) Kujenga tabia ya
kujiamini kwa ajili ya kufundisha na kujifunza kwa kutu mia
vielelezo na teknolojia.
No comments:
Post a Comment